Saturday, October 27, 2012

Tujiepushe na vifo hivi vya kujitakia!





 





Noncommunicable diseases (NCDs), such as
heart disease, stroke, cancer, chronic respiratory diseases and diabetes, are
the leading cause of mortality in the world.






This invisible epidemic is an
under-appreciated cause of poverty and hinders the economic development of many
countries.






The burden is growing - the number of people, families and
communities afflicted is increasing.
Common, modifiable risk factors underlie
the major NCDs. They include tobacco, harmful use of alcohol, unhealthy diet,
insufficient physical activity, overweight/obesity, raised blood pressure,
raised blood sugar and raised cholesterol.






The NCD threat can be overcome using
existing knowledge. The solutions are highly cost-effective. Comprehensive and
integrated action at country level, led by governments, is the means to achieve
success. read more here












Takwimu za Shirika la Afya Duniani
zinaonesha, vifo vitokanavyo na Kisukari (Diabetes) vinatarajiwa kuongezeka
mara mbili ambapo mpaka sasa watu wapatao milioni 347 duniani wanaugua ugonjwa
huu huku milioni 3.4 wakiwa wamepoteza maisha mwaka 2004 pekee.  ISOME HAPA












 


Saratani (CANCER) unashika chati duniani
kwa vifo, ambapo mwaka 2008 pekee watu wapatao Milioni 7.6 sawa na asilimia 13
ya vifo vyote duniani vilitokana na ugonjwa huu. Na inakadiriwa kuwa vifo hivi
vitaongezeka ambapo kufika mwaka 2030 watu milioni 13.1 watakuwa wamepoteza
maisha kwa saratani. ISOME HAPA







































Magonjwa ya moyo (Cardiovascular Diseases)
yanaongoza, ambapo watu milioni 17.3 sawa na asilimia 30 ya vifo vyote duniani
yalitokana na CVDs, inakadikiriwa watu milioni 25 kupoteza maisha kufika mwaka
2030. ISOME HAPA































Pia Uzito kupita kiasi (Obesity) ni tatizo
lingine, ambapo tangu mwaka 1980 watu wenye uzito kupita kiasi wameongezeka
mara mbili duniani, ampapo zaidi ya watu Bilioni 1.4 walikuwa na tatizo hili
duniani na zaidi ya yote ni kuwa watoto milioni 40 chini ya miaka mitano
walikuwa na uzito kupitiliza. ISOME HAPA



























Kibaya zaidi asilimia 70 – 80 ya magonjwa
haya ambayo yanaweza kuepukika yanatokea katika nchi zenye kipato cha chini na
kati duniani, Tanzania ikiwamo.















Je tumefikaje hapo? Je tufanye nini
kuepukana na maafa haya yanayotunyemelea?


Jambo la kutia matumaini ni kuwa magonjwa
haya ambayo mengi yanatokana Mitindo yetu ya maisha yanaweza kuepukika kwa kupata tu elimu sahihi, na zaidi kila mtu aweza kuwa sehemu ya
ufumbuzi wa janga hili na kuokoa maisha ya ndugu na jamaa zetu ambao wanaweza kuteketea
kwa magonjwa yanayozuilika, tuwasiliane ikiwa wataka kuwa kuwa sehemu ya
utatuzi simu 0784475576, 0712927070, email:brwebangira@gmail.com. PAMOJA TUNAWEZA.





No comments:

Post a Comment