Wednesday, July 18, 2012

Breaking News- Ajali Nyingine ya Meli Zanzibar




Meli ya Mv Seagull ikiwa na abiria zaidi ya 200 ikotokea Dar es Salaaam kwenda Zanzibar inasemekana kuwa imezama katika eneo la Chumbe, Juhudi za uokoaji zinaendelea, na tayari watu kadhaa wameokolewa wakiwa hai, vifo bado havijaripotiwa. Tutawaletea taarifa zaidi 



Kwa mujibu wa Itv Breaking News.



No comments:

Post a Comment