Thursday, September 6, 2012

MAISHA +PLUS NDANI YA MWANZA

 

  Bonda akimhoji mshiriki  wa maisha +
 mambo yalivyokua
Usaili wa Maisha Plus unaendelea  mkoani Mwanza; baada ya hapa timu nzima itaelekea Morogoro katika wilaya ya Mvomero na siku inayofuata itaibukia Igula, Mkoani Iringa. "Tukitoka Iringa tunahamia Sumbawanga huko Kantalamba then tutarudi Mbeya, baadaye tutaelekea Kilwa kisha Masasi na Zanzibar itafuatia. Dar es Salaam itakuwa ya mwisho ambayo usaili wake utafanyika Septemba 22 na 23," .

No comments:

Post a Comment