Wednesday, October 24, 2012

KILA MSEMAJI WA WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA ALIKUWA NA UTAMU WAKE

 Getrude Mungai(Life Style Designer of Sex and Relationships)alitoa masomo matatu...kwanza aliingia kutoa intro ili kina dada na kina mama wamjue yeye ni nani maana alikuwa msemaji mgeni kutoka Kenya.


Chriss Mauki somo lake lilihusu tofauti za jisinsia huyu kuwa mwanamke na yule mwanaume inavyoweza kuathiri mahusiano.

Aunty Sadaka alizungumzia Mwanamke anaemuonea fahari ni yupi?kumbuka theme yetu ta safari hii ilikuwa mwanamke kuwa mfano.



 Mama Victor alimuongelea mwanamke wa mfano ni yupi?ukifa leo hii utakumbukwa kwa lipi?kila unapoenda unaacha kielelezo gani?unazungumza vizuri?mfano kwa familia,mume au mpenzi,wafanyakazi wenzio na jamii kwa ujumla.



Picha ni nyiiingi sana kwa kweli endelea kuangalia utaziona zaidi..

No comments:

Post a Comment