Tuesday, October 16, 2012

PACO DECOR NDIO MPAMBAJI RASMI WA KITCHEN PARTY GALA JUMAPILI YA TAREHE 21

 Paco Deco ndio kuwa mpambaji rasmi wa women in balance kitchen party gala tarehe 21st october itakuwa jumapili ya wiki hii.Safari hii tunakwambia mwanamke kuwa mfano.Zifuatazo ni kazi za Paco deco sio wapya sana katika fani hii ya mapambo ila kazi zao nzuri kwa kweli.Ukivutiwa hata wewe unaweza kuwatafuta wapendezeshe shughuli yako yoyote ile kwa namba 0652909311




 Mambo ya Bustanini hayo....



Tusikose jumapili hii tarehe 21 pale diamond jubelee Vip hall.Kuanzia saa nane mchana mpaka saa nne usiku.Kiingilio kikiwa ni Tsh 30,000 pata ticket yako mapema.Tickets zimeanza kuuzwa shear illusion mliman city ambapo ukinunua unapata kuchagua zawadi ya tsh 10,000,8020 Fahions sinza mori,Shekinah garden mbezi makonde,Tsn supermarket mikocheni,born 2 shine mwenge Tra,Jackz cosmetics kinondoni...PIA mlioko mjini piga namba 0716485666

Kwa mnaonunua meza please fanyeni mapema maana mwisho wa kununua meza ni jumatano ya tarehe 17 keshohiyo.
Wasemaji wa Women in balance kparty gala tarehe 21 october
1.Aunty sadaka psychologist
2.Mama Victor motivation speaker
3.Chriss Mauki social and counseling psychologist
4.Getrude Mungai sexiologist kutoka Mombasa Kenya

Sponsored by
Tsn supermarket
Cocacola
Sossi
clouds fm.   

No comments:

Post a Comment