Tuesday, December 4, 2012

HAPPY BIRTHDAY KWA MALAIKA HAWA WAWILI.

Mtoto Nasreeen-Shally  mwanae na Nargis Mohamed leo ametimiza miaka miwili ya kuzaliwa.Hongera Nargis unakuza taratibu taratibu.
 Pia mwanangu mwenyewe anaitwa Hajra leo ametimiza miaka mitatu tangu kuzaliwa.Mie penda wewe karibuni nakuja kukuchukua kwa mama yako Asma Makau.Haiwezekani azae mtoto anafanana na mimi ipo namna.

 Hajra ni mtoto wa mfanyakazi mwenzangu na pia rafiki wa karibu.Ila mwanae anafananishwa sana na mimi.Kila siku namwambia nakuja kumchukua mwanangu nikae nae mwenyewe.

No comments:

Post a Comment