Tuesday, December 4, 2012

KUTANA NA KITU CHA MTURA

 Mtura ni chakula maarufu sana mkoani Arusha.Ni utumbo ule unaoitwa utumbo wa maziwa unaoshwa vizuri na kufungwa halafu ndani kuwekwa vipande vidogo vidogo vya nyama.Nyama hizo zinakuwa zimetiwa pilipipili,ndimu,mboga mboga na viungo mbali mbali inategemea.Halafu unafungwa na kuchomwa.
Ukiiva ndio unaliwa na salad kama hivyo na ndizi hata chipsi.

No comments:

Post a Comment