Sunday, November 4, 2012

SAMSUNG WEEK 2012

Samsung week dinner,Ilikuwa ijumaa iliyopita pale Golden Tulip.Tulialikwa watu mbalimbali kushuhudia ulimwengu wa teknolojia kupitia bidhaaa mpya za samsung.
Mwendesha shughuli alikuwa Sauda Simba.





Nilivutiwa na hii laptop maalum kwa ajili ya watoto.Hii hata ikiingia maji haiaribiki ipo kama kibegi hata akiiangusha haivunjiki wala kuharibika.Najua wapo wazazi wangependa watoto wao wapate hii hasa wale ambao wameshakuwa hakuna haja ya kutumia laptop ya toy tena.
 Asma Makau wa clouds fm,Mwanamuziki Jaffarai na Dj Fetty


No comments:

Post a Comment