Friday, November 30, 2012

UJUMBE NILIOUPENDA LEO!

''Kitu muhimu na kikubwa baba anachoweza kufanya kwa watoto wake ni kumpenda mama yao''
Maneno haya yamenikuna kweli leo baada ya kuyaona nikayatafakari sana.Ni kweli kabisa baba anapompenda mama watoto wanaona kwa matendo.Na baba anapokuwa sie watoto wanajua kabisa baba mzushi tu kwa mama.
Kazi kwenu kina baba,mara nyingi napenda kutumia picha za familia hii kwa sababu naipenda.

Kama una picha ya familia yako nzuri na hauna tatizo nikiitumia hapa.Basi nitumie ikiwa na ujumbe wowote ule na mie nitaiweka pasipokusahau utambulisho. 


No comments:

Post a Comment